"MAKALIO YANGU NDIO YANAYONIWEKA MJINI"....AGNESS MASOGANGE...!!


Mrembo  asiyeishiwa  na  vituko  maarufu  kwa  jina  na  Masogange  ameamua  kuvunja  ukimya   wa  muda  mrefu  kwa  kuyanadi  makalio  yake.......
Kumbukumbu  zetu  zinaonesha  kwamba Masogange  ni  miongoni  mwa  wasanii  waliopata  umaarufu  nchini  Tanzania  kwa  kupiga  picha  za  uchi  na  kucheza  movie  za  Uchi  mithili  ya  wacheza  XXXXX....


Mwaka  jana  alianza  hivi  hivi.Alivyoona  watu  wamekupotezea   aliamua  kuvua  nguo  zote  na  kujianika  mtupu,tena  katika  VIDEO  ambazo  zipo  mtandao  hadi  leo....

Kwa  mbwembwe  tena  mwaka  huu  kaanza  kwa  staili  ileile  ya  kuyanadi  makalio  yake  mitandaoni  akidai  kuwa  bado  yanalipa

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter