Godbless Lema ambaye ni mbunge wa arusha ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa kuwafariji wahanga wa tukio hilo.....
Akiongea kwa jazba na hasira na wanachi waliopo eneo la tukio,Lema ameitumu serikali kwa mara nyingine na kudai kuwa uzembe wa viongozi ndo chanzo cha matukio kama haya....
Hotuba fupi na nasaha zake zilikuwa zikisikika moja kwa moja kupitia Radio maria kabla ya kituo hicho kuamua kukatisha nasaha zake.....
Haijafahamika mara moja sababu za kukatishwa kwa hotuba yake ...
Bado tunasubiri taarifa rasmi ya vyombo vya ulinzi na usalama kuhusu tukio hilo
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....