Katibu mwnezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....