Hii picha imesambaa kwenye mtandao wa Facebook ikimwonesha Bob Haisa akiwa kama chizi na kuzua maswali mengi kama ni kweli ama ni harakati tu za kufanya sanaa
Baada ya kuona kuwa kila mmoja anazungumza lake, mwandishi wa habari hii amemtafuta Bob Haisa ambaye baada kucheka sana aliposikia jinsi watu wanavyoizungumzia picha hiyo, amesema hiyo picha ni ya video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Wa Kukaya’
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....