Jamani hii ni Aibu kwa wasanii Wetu Kufanya vitu vya Aibu kama hivi sasa sijui ndio Lord Eyez kawa Teja maana tunasikia kuwa anatumia madawa ya kulevya na vitendo kama hivi wamafanya Mateja ...Aibu sana Jamani ...Napenda uimbaji wa Lord Eyes lakini sasa amafikia Pabaya Jamani....Mdau unasemaje kuhusu Hilo....?
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....