Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 60 wamejeruhiwa kati yao 42 hali zao ni mbaya baada ya kutokea mlipuko kwenye sherehe za Uzinduzi wa kanisa katoriki parokia ya mtakatifu Yosefu mfanyakazi -Olasiti jijini Arusha.
ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI....
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....