HIVI NDIVYO AMBAVYO MSANII SHAA ANGEVUA NGUO HADHARANI NA KUBAKIZA KIVAZI CHA KUOGELEA TU...!!


April 8, Shaa alitweet, “Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo ikifikisha 100,000 naenda kuogelea coco beach mchana kweupe lets do.

 Hata hivyo hits 100,000 hazikufika. Lakini mchoraji Maarufu, Dennis aka Kapwipwi ameamua kutuonesha jinsi muonekano wa Shaa ungekuwa iwapo hits hizo zingefika na kutimiza ahadi yake.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter