Pengine hizi ndo starehe pekee wanazozipa "maafande" hasa wale wanahusika na ulinzi wa mageti.....
Miongoni mwa majukumu yao ni "kuwapapasa" na "kuwashika- shika" watu wanaofika katika maeneo hayo yenye ulinzi mkali ili kujiridhisha kwamba hawana silaha au kitu chochote kibaya....
Kinachoshangaza zaidi ni kitendo cha mafande kukomaa na nyeti za akina mama wakati kuna sehemu zingine kibao za mwili ambazo walitakiwa wazikague.....
Hata hivyo, kwa dunia ya leo, ukaguzi kama huu umepitwa na wakati kwa sababu kuna vifaa vingi sana vya kitaalam ambavyo vinaweza kufanya kazi hizi badala ya maafande kushinda wakicheza na makalio ya watu
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....