Siku hizi ukinunua dvd mpya ya filamu ni lazima ukae chumbani kwanza uitazame kwa makini kabla ya kuiweka mezani ili watoto nao waangalie.....
Kwa wapenzi wa filamu za kinigeria nadhani watakubaliana na mimi..Hawa jamaa siku hizi hawaigizi na badala yake wanafanya kweli.....
Hapo zamani walijikita katika filamu za kichawi.Siku hizi wamewekeza katika katika mapenzi na kinachofanyika si kuelimisha tena bali tunafundishana ngono tu....
Tazama cover ya hiyo movie na utakubaliana na mtazamo wangu. Tena bora katika hii maana cover inaonesha kabisa, lakini mara nyingi cover zao ni za kawaida ila ndani ni madudu.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....