Mimi ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana ...Now nafanya  kazi katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam , Wakati nilipokuwa   chuo mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar  Kuchukua wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha...
Mchezo huu  umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha  sana kulala na hao watu...Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae  sisikii  raha kama nikiwa na changudoa....
Sasa jioni mara nyingi huwa  natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha  siku bila hiyo kitu siwezi... 
Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje....




0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....