Wema Sepetu.
Akizungumza na Stori 3, Wema alisema amekuwa akivaa madini mbalimbali ila tangu alipoanza kuvaa ya ‘diamond’, watu wake wa karibu wamekuwa wakimsifia kuwa anatoka chicha.“Ukiniambia nichague madini kati ya silver, gold na diamond mimi nitachagua diamond kwani yananipendeza sana, bila kuyavaa nahisi sijapendeza,’’ alisema Wema.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....