Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.
Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mashitaka yote yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa tene na kufunguliwa mashitaka mengine
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....