Hili limekuwa ni tukio la pili kwa mwanamke kuvua nguo uwanjani.....
Matukio yote yamekuwa yakitendeka Afrika kusini ambako timu kadhaa zimekuwa zikiendelea na michuano......
Inasemekana makahaba toka nchi mbalimbali wamekwisha tia kambi nchini afrika kusini tayari kwa kuwanasa wateja wao.....
Wiki chache zilizopita Xdjay ililipoti kuwa kahaba maarufu toka Tanga naye amekwisha wasili eneo la tukio......
Yanayotendeka huko ni laana tupu....
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....