BABA AMCHARANGA MAPANGA MTOTO WAKE KWA KUANGUSHA TREYI ZA MAYAI..!!


Tukio hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu alipoangusha baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini kama Baba mzazi wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter