WAKATI baadhi ya wasanii wakitumia njia ya kumzungumzia mbovu mwingine kwa lengo la kutafuta umaarufu, staa wa muziki na filamu Shilole, amesema kuwa kamwe hawezi kumjibu mtu yeyote anayetafuta umaarufu kupitia mgongo wake.
Mwandishi wa Wetu alizungumza na msanii huyo baada ya kudaiwa kwa kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakimzungumzia ovyo kwenye vyombo vya habari kwa lengo kumtaka hajibu ili watu wapate cha kuzungumza, ambapo alisema kuwa hana muda wa kujibu ujinga wa mtu kwani anajua nini wanachokitafuta na yeye hajali yupo bize kutafuta pesa.
Shilolehakusita kusema kuwa kuna mmoja ya wasanii ambao awali alikuwa nao karibu lakini wamekuja kutengana baada ya kuona yeye anakuja juu huku wao wakiwa bado wana maisha ya chini.
“Najua kuna watu wanapenda kuzungumza bahari zangu kwa lengo la wao kupata umaarufu baada ya kujiona wako chini, napenda kuishi nao vizuri lakini si kwa kuzungumzia ishu amabzo hazina maana,” aliongeza

0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....