Katika hali ya kustaajabisha Binti mmoja Nchini Nigeria alijikuta akiingia katika matatizo makubwa pale alipolazimishwa kutembea Uchi njia nzima...... Wakati mwandishi wetu akitupasha kuhusiana na tukio hilo watu mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao kwa kudai kuwa chanzo cha hayo yote ni Binti huyo kula pesa ya jamaa ambaye alumwahidi mapenzi na badala yake kumwacha ndani ya Gesti na Kutoroka......
Ndipo jamaa alipoamua kumtafuta Binti huyo katika viwanja vyake vya kujiuzia mwili wake na kumwangushia kipigokizito kabla ya kumvua Nguo zote na kumtembeza Uchi njia nzima..
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....