Kizaazaa hicho kimetoke huko SAN FRANSISCO ambapo binti mmoja aliuacha hoi umati wa watu pale aliweka maumbile yake hadharani mbele ya JAJI mwendesha kesi,
Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo na JAJI huyo ndipo aliposema yafuatayo: "Ulishawahi kuona mtoto analia akiona mtu yupo uchi? HAPANA ila badala yake watacheka na kufurahi, kwa hiyo miili yetu ni zawadi yuliyopewa na mwenyezi MUNGU ili tuwafurahishe na watu wengine" Alisema mwanadada huyo aambaye alionekana kama kuchanganyikiwa kiasi.
Ndipo polisi walinda usalama waliokuwepo karibu walipomchukua haraka haraka na kumwondosha nje ya mahakama hiyo.
VIDEO KAMILI YA TUKIO HILO NI HII HAPA:
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....