Mapenzi ni mazuri sana kama wawili wakipendana, Lakini hivi vipimo vya kupendana vinapimwa na kipimo GANI jamani?. Yaani katika hali ya kustaajabisha kabisa jamaa mmoja alinaswa na CAMERA AKILAMIZISHWA kufua nepi za mpenzi wake!!!
Katika mila na maadili yetu watanzania nadhani jambo hili ni lakushangaza kuliweka kwa UMA wetu, Lakini kama kawaida yetu GUMZO LA JIJI pale tunapoona jambo halijakaa sawa basi huwa tunawaachia wapenzi wetu na wao waweze kujadili jambo hususai hili ambalo lipo kweye meza yetu hapa LEO.
Yaani hii ni Imbwata na sio bure wadau kwa kidume cha mbegu kufua chupi za mkeo huku yeye anakuangalia???!! hapana kwa kweli yaani kwa mimi hii mabo naona kama haijakaa sawa kabisa.
Na mwandishi wetu alipozidi kufuatilia tukio hili kwa UNDANI mwishowe alikuja kugundua kuwa hiyo haikuwa mara ya kwanza kwakidume hichokufanya matendo hayo ikiwa ni pamoja na kuosha viombo kila siku.
Haijaeweka bado ni KUROGWA ama ni UZEZETA wa kijana huyo ila yote ya yote tunakuacchia mdau na wewe uweze kuchangia mada hi.
HIVI HII NI HALALI KWELI?
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....