Hivi karibuni kulikuwepo nauvumi juu ya mshambuliaji hatari wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Sinta....jamaa Okwi sijui kitu gani kilimkurupua huko alipo aliibuka na status yake wenye wall yake ya facebook
ambayo bila kuongeza neon ilisema hivi...."Hi ladies and gentlemen, I wanna take this opportunity to make myself clear on an issue that has been going on about me and Christine Sinta.. A lot has been published in newspapers and on her blog
that we are moving out together which is WRONG.. I just hope that u will all
understand me.. It's been too much for me, i really tried to ignore all that was said about us but i believe it's high time u all know the truth.. Am not moving out with her as she claims.. No truth behind whatever she writes..Thanks to u all for your support..God bless u all..One love.." Alikuwa akimaanisha hivi katika
lugha yetu ya madafu: “Mabibi na mabwana, nachukua nafasi hii kuweka sawa
uhusiano wangu na Christine Sinta, mengi yameandikwa kwenye vyombo vya habari na mitandano ya kijamii kama blog kuwa tupo pamoja, nasema
siyo kweli.“Naamini mtanielewa, nimekwazika sana, nimejitaidi kupuuza
yanayosemwa na sasa naamini ni wakati muafaka kujua ukweli,” alisema Okwi.
Ujumbe wake unaendelea: “Sina uhusiano wowote wa kimapenzi na yeye (Sintah)
kama anavyodai, na hakuna ukweli wowote kwa anayoyaandika. Nawashukuru
wote kwa sapoti yetu, Mungu awabariki.”
Ndugu yangu Sinta baada ya kusoma hayo cheki alivyojibu kwenye blog yake ya
Sinta.com....mapenzi ya kibongo bwana...Ohhhhh yeahhh we chop our
money coz we don care im having my own siesta with
ma ladies thats y my baby boy loves me so much lolest a certain villager wants
to stop the unstoppable not knowing that the jiggas are still controlling his mind, when you asked for a war you should be ready because Im a lioness even if it doesnt eat for a week will not become a thin as a goat that eats for everyday .
if you had a gun, i have a bullet proof body, look your self in the mirror and see
weather u deserve me???? tell the same people u told that your dating me that you wanted a job to polish my shoes and washing my panties for 100usd per month, and finally O you dont look good at
all. poachers are looking for u in Buwindi game reserve because you escaped, Gorilla go back where u belong mxiuuuuu. i get paid for everything i do but you first pay for everything you do. if ure on heat fold your p***s
and f**k ya a*ss life goes on under the S,,,,K,,,,,Y. you look like a gateman you
can never make a list of my pet dogs. and never joke with the monk coz always be a monk. you should thank Mr Mulindwa who made u see the black board .
the hunter becomes the hunted so dance to the tune of my music, you have stepped in hell and now yo will get fire. go back and take your ajono. malooooh came from chaloo,eating kaloooooo driving gadigadii,, okwiiiiii go
and cut your filimbi (circumcised) . im a sophisticated empowered woman and your sophisticated lost dog looking for bones, and at our home dogs eat bread.finish what you have ,this is another side of sexy baby j wake lo you have just tickled a private part of a tiger lolest. i go by the name sintah j wake lo the unstoppable mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe Nothing but confidence.
katala- mtu mjinga tadoba-kibatari kwasababu ni mweusi kijijini alipooka
anahitaji mwanga halafu sihitaji ushauri nasaha, mkamshauri yeye alieandika fb
akijua sitojibu fb ana watu 2000 my website inaangaliwa dunia nzima. swali nani imekula kwake?? watu 2000 fb au watu zaidi ya million ktk hii no 1 website
muniwacheeee hiyo ikapita, Sinta akaona haitoshi leo katoa kingine cha ukweli
ambacho ametoa lake la rohoni...jamani mapenzi hayaaa.....soma hapa...ila Sinta
hata mimi namkubali kama mwanamke anayejiamini safi
mama...jiamini. "Stopppppp kuniandikia pumbahuku kuhusu mtu mwenye
govinda kaandia fb hayanihusu i dont deal with people who have un-sustainable career uwiiii the whole of me the lope lope of all trades haaaaa, usisihindane na mimi maana I have got three career hata kama sifanyi moja ninakula je
yeye mwenzangu mguu ukivunjika kuna kitu tena??? MA International relations and Diplomacy as well as queen wa entertainment industry sasa kazi kwako wewe kinuka mkojo usitukane mamba na bado unapiga simu post itolewe hapa hakitoki kitu ulianza na mimi namaliza..."
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....