MAAJABU: MWANAUME AZALIWA AKIWA NA UUME ULIOGAWANYIKA MARA NNE(4)!!

Inawezekana haujawahi kuisikia hii sehemu nyingine basi hapa ndio sehemu husika ya kuupata mkasa huo mzito ulioshika HEADLINES ya vyombo vingi vya habari hapa  barani kwetu AFRICA.




Katika hali ya kushangaza kabisa mwanaume ambaye alidiriki kuonyesha maumbile yake ya siri jinsi yalivyo aliwaacha watu HOI wakiwa na masikitiko makubwa kupindukia., amini usiamini bwana huyu mkazi wa NCHI  ya GHANA amekuwa hana raha katika maisha yake yote tangu anazaliwa kwani amejikuta katika mikasa mingi ya ajabu ikiwemo kukataliwa na wanawake ambao alikuwa anawapenda kwa DHATI.

Sifa za mwanaume huyo zimekuwa zikizaagaa siku hadi siku katika mitandao mingi tena ile husasani ya kijamii ikimuonyesha bwana huyo kwa lengo la kumdhalilisha maumbile yake. Katika mahojianoo mafupi na vyombo vya habari husika bwana huyo alitanabaisha kuwa kwamba hali hiyo ni ya kuzaliwa nayo kabsa ambayo imekuwa ikimsumbua kwa muda sasa, aliendelea kwa kusema tatizo kubwa kabisa linalomuumiza kichwa ni mpaka sasa hajui ni ipi katihizo nne ambayo haswa inahusika na tendo la ndoa kwa UFANISI.

Dunia imeumbwa na watu wenye maumbile tofauti tofauti sana jamai, yaani huyu jamaa kwa jinsi inavyoonekana hi hali imekuwa ikimsumbua kwa muda mrefu sana.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter