VIDEO HAPO JUU...
Mwili wa ajuza wa miaka 95 anayedaiwa kuzikwa akiwa hai na jamaa zake umefukuliwa hivi leo, huku kukiwa na dalili huenda mwendazake aliuawa na maiti yake kukatwa katwa na kisha kuwekwa kwenye gunia. Biwi la simanzi lilighubika kijiji cha Ndumba, kaunti ya Kirinyaga wakati maiti hiyo ikifukuliwa.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....