Kwa mujibu wa kituo cha EATV, wasanii hao wenye hits nyingi ikiwemo Alingo, Chop My Money na zingine wanatarajiwa kufanya onesho lao Tanzania tarehe 23 November.
EATV wametweet
Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu 'P SQUARE'…."Together Tunawakilisha"Na baadaye kupitia ukurasa wao wa facebook wakaweka msisitizo:
— East Africa TV (@eastafricatv) October 4, 2013
“TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIO?!! EHHH!!
Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu ‘P SQUARE’.
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!
NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!!”
CREDIT: BONGO5
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....