MABASI YAENDAYO MIKOANI TOKA STENDI KUU YA UBUNGO JIJINI DAR YAMEANZA MGOMO LEO ASUBUHI...



Mabasi yaendayo mikoani leo asubuhi yamegoma kufanya safari zake kama ilivyo ratiba zake za kawaida  kwa madai kwamba walikuwa kwenye mgomo. 
 
 Mwandishi wetu  alipofika katika Kituo kikuu cha mabasi Ubungo alikuta mabasi yote yakiwa yamepakia abiria lakini hayakuwa yametoka kufuatia wamiliki wa mabasi hayo kuwakataza madereva kuyatoa mabasi hayo kama ilivyo kawaida. 


Mabasi hayo yamegoma kufuatia mgomo wa malori uliosababishwa na ongezeko la tozo la asilimia 5 katika mizani.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter