Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram Mtangazaji wa Clouds Fm Adam amepost picha hii .Ni picha ambayo imezua gumzo sana miongoni mwa mashabiki wake...
Wapo wanaohoji UTIMAMU wa akili yake kwa kuweka picha kama hiyo huku wengine wakidai ni bangi zinamsumbua.....
Yafuatayo ni baadhi ya maoni ya mashabiki wake:
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....