Mkuu wa Mkoa Mulongo naye amefika eneo la tukio na kuwafariji wahanga wa tukio la bomu....
RPC wa mkoa wa Arusha naye aliambatana na mkuu wa mkoa na muda huu alikuwa anatoa nasaha zake kwa wananchi....
RPC amesema tukio hili ni la kigaidi. Amesema kuwa aliyehusika alijitokeza nyuma ya jengo kwa kujificha na kurusha bomu. ...
Amesema kuwa Polisi wanawasaka waliohusika na unyama huu na ameomba yeyote mwenye taarifa yoyote aisaide polisi. ..
Waliojeruhiwa ni 50 .Hao wana majeraha ya kawaida na 3 wako mahututi
Mpaka sasa mtu mmoja anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....