BREAKING NEWZZZZ: VITA KALI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI YAENDELEA HUKO KILOSA....!!

MWANADISHI wetu kutoka wilayani KILOSA ametupasha kuwa kwa hivi sasa hali ni tete wilayani hapo baada ya kutokea vita kali kati ya Wananchi na Jeshi la Polisi.... Mpaka sasa bado chanzo kikubwa cha Vurugu hazijajulika......ENDELEA kuwa nasi ili tuweze kukupasha zaidi kuhusian na mkasa huo.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter