MKASA: "Lecturer alinifungia ofisini, akanichania nguo na kutaka kunibaka"...!!

Polen na majukumu. Hivi karibuni nilikwenda kuhakiki course work yangu kwa mwalimu husika wa somo hilo lakini nilikuwa napigwa danadana. Kila nikienda ananiambia anahudumia watu wengine na kunipangia muda wa kuanzia usiku.

Mara ya kwanza aliniambia atanijazia lakini naye kuna kitu anakihitaj kutoka kwangu... Nilipohoji ni kitu gani akaniambia nnakimiliki mwenyewe na hakihitaj tume kuamua. Nikaondoka na kurudi tena zaidi ya mara 3 na kuahidi kuwa atanijazia lkn cha ajabu Nilipokwenda kwa HoD bado haikubadilishwa. Nikaamua kurudi kwa Mwl lkn kilichofuata ni kunichaniwa nguo na kutaka kunibaka ofisini kwake; nilijinasua lkn nijigonga kwenye ukuta na kupasuka puani.


Naomba mnisaidie wana JF maana nimelirudisha swala hili kwa HoD lakini naye amesema atalirudisha kwa mkuu wake. Nilimrekod katika simu mara zote nilipokwenda kwake isipokuwa siku ambayo aliyonichania skintight na kutaka kunifanyia huo unyama...!


Naomben msaada wenu tafadhali maana mimi na yeye tumefikia pabaya sana.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter