Bint aliyejulikana Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort(NR) ktk muziki cku ya ijumaa.Inasadikika marehemu alilewa na wabakaji alitoka nao muziki.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....