BALAA: BINTI ALA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA BWANA WAKE BAADA YA KUNYONYA CHUCHU ZA DIAMOND JUKWAANI KWENYE SHOW YAKE HUKO KAHAMA...!!




Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond
Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond

Show ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa tofauti.
Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake

Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter