Tamaa ya pesa imeendelea kuwa kikwazo katika maisha yetu ya kila siku.......
Matuko ya ajabu yenye tamaduni za nchi za magharibi yameendelea kuwa kikwazo kikubwa katika mila na tamaduni zetu.....
Huyu ni binti aliyefahamika kwa jina moja la Jackline.Yeye na bahasha wake inaonesha hawazitambui thamani na utu wa mwafrika.....
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....