Huyu ni mwanamke aliyekutwa akiwa hoi baada ya kunywa pombe kupita kiasi.....
Sakata hili ambalo lilitokea katika party ya rafiki yake lilizua gumzo kubwa baada ya mrembo huyu kujikojolea....
Mwanzo alionekana akiwa ni mtu mwenye furaha na mchangafu.Baada ya pombe kumwelemea, binti huyu alijisogeza pembeni na kujilaza na ndipo aibu ya kujikojolea ilipomkumba
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....