Akiongea na mwandishi wetu msanii huyo alidai kuwa amekuwa akijishangaa kutokana na makalio yake kubandilka siku baada ya siku na kuongezeka kwa kiasi kikubwa, huku baadhi ya nguo alizokuwa anavaa baadhi zinambana na hawezi kuzitumia tena.
Alisema kuwa inawezekana kukuwa huko kunatokana na kulizika kwani sasa hana mawazo kama aliyokuwa nayo miaka kadhaa nyuma, ikiwemo mtoto wake kipindi akiwa bado mdogo mambo ya sanaa lakini sasa hakuna kitu kinachompa shida kwani anafanya mambo yake kwa rahana kwa kujiamini.
Snura katika pozi akionesha alivyojaaliwa
Aliongeza kuwa hajawahi kutumia dawa za aina yoyote za kukuza makalio na kuhusu makalio yake kuongeza anaamini ni umbo lake hivyo anahisi baadhi ya watu wenye mawazo mafupi wataanza kuhisi anatumia dawa hizo hatari na hataki watu wamfikilie vibaya, wala kuhisi anatumia.
“Utashangaa kuona picha nyingi nazopiga sasa zinaonesha makalio yangu yamekuwa sana nashindwa kuelewa ni kwa nini ila naamini maisha yangu ya sasa hayana mawazo kama ya miaka kadhaa iliyopita sasa sina mawazo hakuna anayenipa taabu na nafanya mambo yangu vizuri,” aliongeza.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....