Mama ni kiungo muhimu sana kwenye jamii, hususani kaktika swala zima la malezi ya mtoto mzigo mkubwa umekuwa ukimwangukia mama kwani ndiye anaeonekana kutumia mud mwingi mno nakusoma tabia za watoto kwa ukaribu zaidi kuliko hata baba ambaye kulingana na utaratibu wa kazi na mgawanyiko wa kimajukumu katika Dunia hujikuta akipata muda mchache mno wa kukaa na watoto wake...
VIDEO iliypo hapo chini inamwonesha mwanamama akimwadhibu mtoto wake wa kumzaa kwa style ambayo mimi sijaipenda kwa kweli.... HATA mtoto akikosea hastaili ADHABU kubwa kiasi hiki kwani ni kipindi cha mpito ambacho mtoto huyu anapitia na kitendo cha kumwadhibu kwa staili haivumuiliki hata kidgo...
EMBU iangalie HAPO CHINI na wewe halafu unipe maoni yako kwamba huyu mama ana ROHO ama TUNGURI moyoni!!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....