Jeshi la polisi nchini Nigeria linawashikilia wanafunzi 21 wa chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia{Enugu} kwa madai ya kuwatesa na kuwalazimisha kinguvu wanafunzi wa kike kufanya vitendo vya usagaji kwajili ya maslahi ya watu fulani fulani Nchini humo.
Baadhi ya wanafunzi ambao ni watuhumiwa walikili, nakuwaambia waandishi wa habari kuwa wamekuwa wana warekodi wasichana hoa wanapokuwa wanafanya vitendo hivyo vya usagaji na kisha video zao kuzipeleka kwa watu mashuhuri ambao wamekuwa wakiwapa fedha.
Watuhumiwa walisema wamakuwa wakirekodi mikanda mingi ya video hizo za usagaji na kuzituma barani ulaya kwa washirika wao ambao hufanya kazi ya kuziuza katika mitandao mbalimbali ya ngono.
Muda mfupi kabla ya kuwakamata watuhumiwa siku ya jumamosi, Afisa mkuu wa jeshi idara ya 82,
Meja Jenerali Sarkin Yaki Bello, Ambae alizungumza na Mkurugenzi Msaidizi, Jeshi Mahusiano ya Umma, Luteni Kanali Sagir Musa, alisema kundi hilo la watuhumiwa, walikamatwa katika maficho yao huko Agbani nje kidogo ya mji wa Enugu kati ya Julai 8 na 12, 2011.Jenerali huyo alisema kikosi cha doria no 103 Battalion kilikwenda hadi ESUT july 4 huku kikiwa na gunshots na ndipo kilipofanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa viongozi wa kundi hilo ambae ni,Franklin Anikwe, ambae alikutwa na risasi tano pamoja na simu 10 za mkononi ambazo zilikuwa zinatumika kurekodia scenes chafu.
SOURCE: MDODOSAJI BLOG
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....