MWANAMAMA AWANYONYESHA MAZIWA YAKE MBWA WA MIAKA 9,NA WANAWE KUWAPA MAZIWA YA KOPO!!




Mama moja mwenye umri wa miaka 44 ambaye hakuweza kunyonyesha watoto wake wawili, sasa  ageukia kumnyonyesha mbwa wake wa miaka 9 ili kutimiaza hamu yake ya kimama ili kujisikia kama mama bora.

Habari hii imetoka katika jarida moja huko Uingereza ambapo mama huyu alipohojiwa na mmoja wa waandishi wa gazeti hilo alisema, watoto wake amekuwa akiwanyesha maziwa ya chupa na mbwa wake amekuwa akimnyonyesha, japokuwa watu wataona ni kituko lakini anasema anahisi yeye ni mama bora.

Aliongeza kusema huku mbwa huyo akiwa anaendelea kunyonya kifuani kwake kuwa, "hatimae nimepata uzoefu sasa wa kunyonyesha, kwasababu nilikosa kuwanyonyesha watoto wangu, lakini sasa najihisi kuwa mama mkamilifu".

"Huwa nasikia ananitekenya wakati wa kunyonya na pia nayasikia meno yake, lakini yako jujuu hayawezi kunidhuru kitu chochote". Aliongeza kusema kuwa wakati anamchukua mbwa huyo anayeitwa Spider hakuwa na afya nzuri hivyo alimpeleka hospitali na kuambiwa mpatie vyakula flani, lakini mbwa huyo aligoma kula ndipo mama huyo alipoamua kumpa kifua chake ajipimie maziwa.

"Huwa namnyonyesha mbwa wangu Spider mbele ya watoto wangu na wao huona kuwa ni kitu chaajabu".

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter