MADEE AKANA KUJITOA TIP TOP


Baada ya kuzuka story mbili tatu katika mitandano ya mbalimbali kuanzia blog mpaka website na kusema kwamba mtu mzima" Madee alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo  lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni na kudaiwa kujitoa katika kundi hilo.Baada ya kuandikwa hivyo na kusemekana kwamba Madee amejitoa TIPTOP kusema kweli sio kitu kizuri kama hiki kuandika story ya uongo lakini mimi nikaamua ngoja nimpigie simu ili aniambie sababu za kujitoa TIPTOP.Madee alisema kwamba hii story sio za kweli "kwani kuna baadhi ya blog zinapenda kuandika habari za uongo ili wajipatie umaarufu katika blog zao mim naomba waache hiyo tabiaa!!!!!@Madee
its more about music industry and social issues in and out of bongo landhttps://blogger.googleusercontent.com/tracker/4435924027978530567-7713310484125905397?l=djfetty.blogspot.com

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter