Utafiti wa hivi karibuni wa wizara ya afya na ustawi wa jamii unaonesha kwamba MAKAHABA waishio dar hufanya ngono zembe na wanaume 15000 kwa siku tena kwa gharama ya juu........
Biashara hiyo ambayo huwahusisha makahaba 5000 mpaka 10000 huwaingizia sh. 50000 mpaka 200000 kwa mwezi kutegemea na uzuri wa kahaba husika.........
Utafiti wa shirika la HIV Behavioural and Biological Surveillance ambao umetolewa weekend hii unadai kuwa makahaba hao humudu kufanya mapenzi na wanaume angalau 5 kwa siku tena bila Kondomu.
KINACHOTIA HUZUNI ni kuwa makahaba 3 kati ya 10 wameathirika na HIV na makahaba 10 kati ya 100 wana magonjwa ya zinaa.
Ukosefu wa elimu na Umasikini vimetajwa kuwa ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha wanawake hao kujihusisha na biashara hiyo ambayo ni haramu.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....