Dunia inapoelekea kwa sasa inatisha jamani, yaani vitendo vya kuanika maumbile nje nje tena katika mtandao vimekuwa ni vitendo vya kawaida sana hususani kwa vijana wa sasa.
Huyu hapo chini ni mdada ambaye anadai kuwa hali ngumu ya kimaisha mara nyingi husababisha yeye kujiingiza katika matendo machaffu kama haya.
' Mazingira kama haya hayafai kabisa katika jamii, kwani kufanya hivi ni kuendelea kulichocho gonjwa hili la hatari la UKIMWI '
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....