Msanii toka kundi la Mtanashati Entertainment Dogo Janja katika kuakikisha anakuwa karibu na mashabiki wake, siku ya leo ameamua kutangaza number yake hadharani ili kama wataitaji kumpa Ushauri, Kumsifia na hata Kumkosoa pia katika maswala mmazima anayofanya katika muziki wake.
Kupitia his Official Facebook Account hitmaker wa “Ya Moyoni” aliweza kupost ujumbe huo kama hivi:
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....