Mbunge wa Somalia auwawa Mogadishu.


Watu waliokuwa na silaha wamempiga risasi na kumuuwa mbunge wa baraza jipya mjini Mogadishu, Somalia.
Bunge la Somalia

Mbunge Mustaf Haji Mohamed alipigwa risasi wakati akitoka msikitini.
Bwana Mustaf Haji Mohamed ni mbunge wa kwanza kulengwa tangu bunge jipya rasmi kuchaguliwa mwezi Agosti.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema mbunge huyo alipigwa risasi kadha.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter