Mwili wa binadamu ni kitu cha thamani kuliko mambo yote kwa mtu yeyote ambaye anajifahamu, Lakini kitu chaa ajabu ni kwamba imekuwa ni kitu cha kawaida sana kwa akina dada wa siku hizi kutumia vibaya maumbile yao kwa kuyaanika kwenye mitandao ya kijamii.
Picha hii niliyotumiwa na mmoja kati ya wadau wetu inawaonyesha akina dada ambao walinaswa chooni wakifanya Ufuska na kuamua kupiga picha za ushenzi wao na kuanza kusambaza mitandaoniikiwemo FACEBOOK social network.
Sura za akina dada hawa sio ngeni kabisa na wengi mnaweza kukubaliana nami kwamba kama tukiuliza majina halisi ya akina dada hawa basi pengine hata jioni isifike tutakuwa tushayapata yote!!
Kama kawaida yetu wana GUMZO LA JIJI, wazee wa kufichua maovu na kurekebisha sehemu palipokaa vibaya tukaamua tuziweke hadharani nyuso zao ili liwe fundisho kwa wengine ambao wana tabia chafu kama hizi.
Na benchi zima la blog hii linaahidi kutoa ushirikiano kwa yeyote ambaye atakuwa na picha nyingine za watu tofauti tofauti ambazo zitakuwa zinakera watu katika jamii basi hii ndio sehemu husika ya kutiririka kwani tupo hapa kwaajili ya kufunzana mema na sio kutafuta chuki
TAHADHARI:
PICHA chafu kama hizi zinaharibu utamaduni halisi wa kiafrica na yeyote atakayethubutu kufanya hivi ba Blog itakuwa kipaumbele kumwajibisha kwa kuzianika nyuso zao hadharani kama ambavyo tumewaona akina dada hapo juu!!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....