BAADA YA 'NEY WA MITEGO' KUMKANA NISHA, SASA PICHA ZAO ZA KIMAHABA ZASAMBAA MITANDAONI!!








 HATIMAYE jipu latumbuka kwa masanii maarufu wa BONGO FLEVA 'NEY WA MITEGO'
 na mwigizaji wa filamu kutoka BONGO MOVIE  almaarufu kama NISHA kwa picha zao wakila malavidavi kunaswa na mtandao huu!!


HAPO awali wawili hao walikana kuwa na uhusiano lakini hakuna siri akatika dunia hii kwani kaita pita pita zetu  tumebahatika kuzifuma PICHA ambazo wewe ndugu msomaji unaweza kujionea mwenyewe kwa macho yako kuwa PENZI lao kwa sasa si la kificho tena kwa hapo mwanzo tulivyokuwa tukifikiria.


NEY naingia katika mkenge mzito mara baada  ya hapo mwanzo kuwakashifu wasaniii wa TASNIA ya BONGO MOVIE kuwa ni m***laya   wa kupindukia, na kama kweli hayo ni kweli basi imekuaje kwa yeye kudondokea kwenye SHIMO alilolitukana.

VIPI mjomba NEY ? au ulipitiwa ndugu!!

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter