"SIKATI MAUNO ILI KUIPAGAWISHA MIDUME".....SNURA

STAA wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kamwe wanaume za watu wasimmendee katika shoo zake kwani hakati mauno ili kuwapata hasa wenye wake.
Akipiga stori na paparazi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa kutuma maombi ya kutongoza.

Sipendi kabisa kusikia masuala ya wanaume za watu, siko tayari kuvunja ndoa za watu. Pesa za kuhongwa sioni raha nazo hata kidogo napenda za kujitafutia za kwangu,” alisema Snura.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter