Diamond ametumia melody inayofanana kidogo na wimbo wake “Kesho” kutengeneza wimbo huu.
Ni wimbo ambao umevuta hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wake hasa wale wanaoamini kwamba mafanikio yake yanatokana na nguvu za pembeni ( freemason )..
Wapo wanaojaribu kutabiri siku za mwisho za msanii huyu kwa kulinganisha na kifa cha utata cha msanii Kanumba ambaye naye alitoa wimbo kama huu pamoja na filamu ya kifo chake siku chache kabla ya mauti kumkuta...
Haya ni baadhi ya mashairi ya wimbo huo:Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??
Pata nafasi ya kuusikiliza na ku-download hapo chini:
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....