Habari za za hivi punde toka kwa mdau aliyeko Tunduma mkoani Mbeya zinaeleza kuwa hali bado ni mbaya na watu wamejifungia ndani.... ndugu waislam nao wamenza kulipiza kisasi .
Mchungaji mmoja anaripotiwa kuwa na hali mbaya baada ya kupigwa sana....
Wakristo nao wanawapiga hata watoto waliovaa hijabu toka shuleni ....
Viongozi wa serikali wote wapo Tunduma. hali ni mbaya FFU wamezagaa mtaani wakiona mko zaidi ya watu wawili mnapigwa bomu, ....
Hadi sasa ile sehemu ambayo ina watu muda wote hakuna hata mdudu barabara zote kuu zimejaa maaskali.
Kama hujanunua mahitaji ya nyumbani leo unalala njaa
Tupe maoni yako hapo chini..!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....