Akiteta jambo na Issa Mnally ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili.
Waandishi wa habari wakimpiga picha (Simbo) wakati akiingia mahakamani. …Akiongea jambo na wakili wake (mwenye koti jeusi) mara baada ya kesi kuahirishwa. Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake. Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....