Agnes Masogange kurindima ,baada ya video yake ya ngono kuvuja kama
Maji kwenye Mitandao ya Kijamii...Jana alionekana kwenye mtandao wake
wa kijamii wa INSTANGRAM Akipost picha kadhaa akiwa ni mtu
mwenye furaha tele na Amanii.....
Baadhi yao walionekana kumuelewa kwa kutupia likes na comment pia
japo wengine walicomment wakisema
''Wewe ni simba uliyejivika Ngozi ya Kondoo....''
Baadhi yao kutukanana...ikionekana kuna raia wanamuelewa Agnes
na wengine bado wakiwa na kinyongo.....!!
Comment nyingine ilisomeka ..''My dear nobody is perfect....shit happens
live your life nobody has no right to judge u''
Picha hizo zilimwonesha agnes akiwa kwenye pozi tofauti tofauti
nyumbani kwakwe.....!!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....