Baada ya mahakama kumpitisha Mshindi wa Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya Mapema Mwezi huu matokeo ambayo hapo awali yalipingwa na Mpinzani wake mkubwa kwenye kiti hicho cha Urais,
Jana mahakama Nchini humo ilitoa tamko la kuwa Uchaguzi ambao ulimshuhudia Ndugu Uhuru Kenyatta akiibuka Kidedea ulikuwa ni wa Huru na wa haki kabisa.
Mara baada ya maamuzi hayo kumetokea vurugu za hapa na pale katika baadhi ya maeneo Huko Kenya na Mwandishi wetu aliyeko Nchini humo ametupasha kuwa bado hali ya kiusalama kwa baadhi ya maeneo bado ni tete..
ANGALIA VIDEO YA MACHAFUKO KISUMU HAPA CHINI...
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....