Mmoja wa askari akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani mbele ya majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa juzi usiku Februari 14.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya wa tatu kulia akibubujikwa na machozi jana usiku baada ya ya Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa , Peter Ngusa (kulia) akiwa ameushikilia mkono ulionyofolewa hivi karibuni kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa poroni kijijini Miangalua wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani mbele ya majengo ya Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha
Madaktari wakijitahidi kutafuta mishipa kwa ajili ya kuongeza damu.Picha na Mroki Mroki na Juddy Ngonyani
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....