K24 TV ya nchini Kenya ambayo ilianzisha kipindi kinachoitwa Connect ;Mombasa Raha position kwa lengo la kuzunguzia maswala ya mahusiano ya kimapenzi kama vile uchumba, ndoa namengine mengi kama zinavyofanya radio nyingi za hapa bongo mida ya saa nne hadi sita usiku. sasa K24 TV wamevuka mstari na kuanza kufundisha mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi na jinsi ya kufanya kwa usahihi
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....